Sunday, 13 April 2014

KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA SOKOINE




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoani Arusha, Hayati Edward Moringe Sokoine, kwenye kumbukumbu ya miaka 30 tangu kifo chake kitokee Aprili 12 mwaka 1984.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati Edward Moringe Sokoine kwenye kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 30 tangu kifo chake kitokee Aprili 12 mwaka 1984, yaliyofanyika jana mjini Monduli.




Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Hayari Edward Moringe Sokoine kwenye kumbukumbu ya miaka 30 tangu kifo chake kitokea Aprili 12 mwaka 1984.











No comments:

Post a Comment