Friday, 16 March 2018

USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI

Askari polisi wa usalama barabarani wa kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Benitha Msagala, akitoa mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mirerani.

Askari polisi wa usalama barabarani wa kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Benitha Msagala, akitoa mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mirerani.

Askari polisi wa usalama barabarani wa kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Benitha Msagala, akiwavusha barabara wanafunzi wa shule ya msingi Mirerani, wakati akiwapa mafunzo ya usalama barabarani.

No comments:

Post a Comment