Thursday, 8 March 2018

MWANAMKE WA NGUVU

 Mjasiriamali wa Mtaa wa Nakwa, Mjini Babati Mkoani Manyara, Aisha Kangai, akiwa na mwanaye akianika maharage yake kwa lengo la kuyakausha juani, anauza debe moja kwa sh35,000.

No comments:

Post a Comment