Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.
Hamisi Kigwangalla (wa tatu kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga
(kushoto) wakiongoza maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanyamapori Duniani
yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma juzi. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka
huu ni “Wanyamapori jamii ya Paka wamo hatarini kutoweka- TUWALINDE”. (Picha na
Hamza Temba-WMU).
No comments:
Post a Comment