Thursday, 22 May 2014

ZIMAMOTO

Mwanafunzi wa shule ya msingi Babati Mkoani Manyara wakipatiwa elimu ya zimamoto na uokoaji wakati askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji Manyara walipokuwa wanatoa elimu ya zimamoto shuleni hapo

Wanafunzi wa shule ya msingi Babati Mkoani Manyara wakipatiwa elimu ya zimamoto na uokoaji, wakati askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji Manyara walipokuwa wanatoa elimu ya zimamoto shuleni hapo

No comments:

Post a Comment