Diwani wa kata ya Bonga Mjini Babati Mkoani Manyara, Pasian Siay akizungumza kwenye kikao cha Halmashauri ya CCM ya wilaya ya Babati. |
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Manyara, Ndengasso Ndekubali akizungumza kwenye kikao cha Halmashauri ya wilaya ya Babati mjini. |
Wajumbe wa Halmashauri ya CCM Babati mjini Mkoani Manyara wakifuatilia kikao cha Halmashauri ya wilaya hiyo. |
No comments:
Post a Comment