Saturday, 3 May 2014

BARAZA UVCCM MANYARA

 Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Manyara, wakifuatilia kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.
 Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Miradi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Manyara, Peter Msaki akizungumza jana kwenye kikao cha Baraza la UVCCM la Mkoa huo lililofanyika  mjini Babati.
 Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Manyara, kutoka wilayani Simanjiro Mosses Method Komba akizungumza kwenye kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.
 Katibu wa Uhamasishaji wa UVCCM na Chipukizi wa Mkoa wa Manyara, Sumleck Ole Sendeka akizungumza kwenye Baraza la UVCCM la Mkoa huo lililofanyika katika ukumbi wa CCM mjini Babati jana.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Robinson Laban Meitinyiku (katikati) ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Baraza la UVCCM mkoani Manyara, akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Manyara, Regina Ndege na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Fredrick Mushi wakifuatilia kikao cha Baraza hilo mjini Babati jana.

No comments:

Post a Comment