Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani |
Diwani wa Kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini |
Wanachama wa CCM na wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimpokea Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka |
No comments:
Post a Comment