Sunday, 4 May 2014

DIMOND ATISHA KWENYE TUZO

NYOTA YA DIAMOND YAENDELEA KUNG'ARA NI BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KWA KUTWAA TUZO SABA KTMA 2014.


Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA).
Diamond amejinyakulia tuzo:
Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.

Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.

No comments:

Post a Comment