Thursday, 22 May 2014

WAUGUZI HANANG

Wauguzi wa Wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara wakiandamana wakati wa kuadhimisha siku ya wauguzi duniani ambapo wao walichelewa kufanya Mei 12 kutokana na kuwa na wagonjwa wengi 
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Christina Mndeme akizungumza na waguzi wa wilaya hiyo 

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Christina Mndeme akizungumza na waguzi wa wilaya hiyo 

No comments:

Post a Comment