Wednesday, 28 May 2014

KINANA AINGIA MANYARA          Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, alipoanza ziara yake wilayani humo (kushoto) ni Katibu wa CCM Mkoani humo, Ndengasso Ndekubali na katikati ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoani humo, Fratey Massey na aliyekuwa Waziri Mkuu, Fredrick Sumaye.Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na  na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, ambapo yeye na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana, walipoanza ziara yao wilayani humo katikati ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoani humo, Fratey Massey

No comments:

Post a Comment