Thursday, 17 August 2017

DC MBULU AKAGUA MAZINGIRA YA WANAFUNZI HARKA

 uMkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Harka baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na kukagua mazingira ya shule hiyo na usafi wa wanafunzi hao.

No comments:

Post a Comment