Tuesday 1 January 2013

RIP SAJUKI





Msaanii Juma Kilowoko ( SJUKI) amefariki alfajiri ya leo Januari 2 mwaka 2013 katika hosptali ya Muhimbili. Tutaendelelea kuwaletea taarifa zaidi za msiba na mazishi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

No comments:

Post a Comment