Monday, 21 January 2013

MWENYEKITI BABATI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara,Mohamed Omary Farah,akizungumza mbele ya madiwani wa mji huo baada ya kuandikiana makubaliano ya kupatana nje ya Mahakama baina yao na kampuni ya Tanga General iliyokuwa inamiliki shamba la Babati Sisal Estate (kushoto) ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo Mustafa Mohamed na (kulia) ni Mkurugenzi wa Mji wa Babati Stella Pascal.


No comments:

Post a Comment