Tuesday, 22 January 2013

NGWASUMA

Baadhi ya wacheza shoo wa bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” Quen Suzy na Aaliyah Ronaldinho Gaucho wakiwa kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarangire katika ziara ya bendi hiyo ya kutangaza utalii wa ndani iliyofanyika juzi makao makuu ya hifadhi hiyo wilayani Babati Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment