Tuesday, 22 January 2013

WAZEE WA FUNIKO BOVU

Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” wakiongozwa na muimbaji wao Patcho Mwamba na mpiga kinanda Rooney wakiwa kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarangire wakati wa ziara yao ya kutangaza utalii wa ndani iliyofanyika juzi kwenye makao makuu ya hifadhi hiyo wilayani Babati Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment