Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara,Kamishna Msaidizi Akili
Mpwapwa akisoma taarifa yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo wakati
wa zoezi la ugawaji wa pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi wakaguzi
wa Jamii wa Tarafa za mkoa huo.
|
No comments:
Post a Comment