Monday, 7 January 2013

JK AKIWA IGUNGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ngutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga Mkoani Tabora.

No comments:

Post a Comment