Monday 21 January 2013

UTALII WA NDANI

Katika kutangaza utalii wa ndani,nikiwa na wanamuziki Nyoshi El Saadat “Sauti ya Simba” Mule Mule (FBI) na Balotel wa Bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma,wazee wa mujini,wazee wa pamba,wazee wa bling’ bling’ wazee wa funika bovu” ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ambayo sehemu yake kubwa ipo Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment