Wednesday, 23 January 2013

WAANDISHI MANYARA

Baadhi ya waandishi wa habari wanachama wa Klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara (MAMEC) wakiwa na Mkurugenzi wa Muungano wa Vilabu vya Waandishi wa habari Nchini (UTPC) Abubakar Karsan kwenye mafunzo ya uandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment