Mtu anayedaiwa kuvaa nguo za jeshi la JWTZ
Abubakari Sufiani (29) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema
na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwenye mkutano wa
Chadema wa vuguvugu la mabadiliko (MVC) uliofanyika Desemba 23 mwaka jana mji
mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,hata hivyo Sufiani
alikamatwa jana mji mdogo wa Boma Ng’ombe Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro na
polisi wakishirikiana na askari wa JWTZ wa Monduli na Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment