Warembo wa Redd's Miss Tanzania wa 2012 walipotembelea wilayani Monduli
Mkoa wa Arusha na walikutana na Mbunge wa Jimbo hilo na Waziri Mkuu Mstaafu Mh.
Edward Ngoyai Lowassa (watatu kulia) ni Miss Mbulu Mkoa wa Manyara Lucy
Stephano alishinda taji la Redds Miss Photogenic 2012
|
No comments:
Post a Comment