Monday, 15 October 2012

HONGERA MHESHIMIWA

Diwani wa Kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mheshimiwa Lucas Chimbason Zacharia akipongezwa na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka baada ya kushinda nafasi ya Katibu Uchumi na Fedha wa CCM mkoa wa Manyara

No comments:

Post a Comment