Saturday, 6 October 2012

MAVAZI YA JADIDiwani wa Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro,Kilempu Kinoka akipongezana na Meneja wa kampuni ya TanzaniteOne,Wessel Marias na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo baada ya mkuu wa mkoa huo kufanya ziara kwenye kata hiyo.

No comments:

Post a Comment