Tuesday, 16 October 2012

POLENI NA MSIBA

Makamu wa Rais,Dr Gharib Bilal akitoa heshima kwenye jeneza lenye mwili wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barrow jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment