Saturday 6 October 2012

UZINDUZI MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akizundua mradi wa maji wenye thamani ya sh45 milioni uliofadhiliwa na Kampuni ya TanzaniteOne kwenye kata ya Naisinyai kushoto ni Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara Akili Mpwapwa

No comments:

Post a Comment