Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika
matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa
Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers).
Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na kumalizikia
katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam,Oktoba 7, 2012.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
|
No comments:
Post a Comment