Wednesday, 31 October 2012

MIMMASAI BANA

Msanii wa nyimbo za kimasai Ras Ngelemba akiwaburudisha mashabiki wake

Tuesday, 30 October 2012

WANADAIWA KUWA NI MAJANGILI

WATU TISA WANAODAIWA KUWA NI MAJANGILI WALIOKAMATWA NA NYARA ZA TAIFA IKIWEMO NYUMBUNA KANGA NA SARE ZA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA JWTZ KWENEY BONDE LA YAEDA CHINI WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA WAKIWA TAYARI KUPELEKWA KITUO CHA POLISI CHA MBULU

Monday, 29 October 2012

WANAFUNZI

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Bassotu Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara wakiwa kwenye mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi na namna ya kupunguza athari zake ulioendeshwa na Mtandao wa Asasi za kijamii mkoani Manyara (MACSNET) kwa udhamini wa The Foundation For Civil Society

Saturday, 27 October 2012

LENGASITI

Angie Morris ambaye ni Mkurugenzi wa Heaven Wind Production akisalimiana na baadhi ya wakazi wa jamii ya kifugaji ya kimasai wa kijiji cha Lengasiti wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara

Monday, 22 October 2012

DED MBULU KIKAONI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Simon Mayeye akijadiliana na mwanasheria wa halmashauri hiyo Honoratus Mulokos

MPAMBANAJI

MPAMBANAJI

Thursday, 18 October 2012

MAMA MPAMBANAJI

Asha Saidi Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara akichekecha mchanga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite kama alivyo kutwa kwenye eneo la Kitalu D.

MAMA MCHEKECHAJI



Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Asha Saidi akichekecha mchanga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite kama alivyo kutwa kwenye eneo la Kitalu D