Friday, 27 June 2014

MADEREVA WA BODABODA WALIPOGOMA

Askari Polisi Jamii wa Tarafa ya Moipo  Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, AS/INSP Amiri Mlemba, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo cha polisi Mirerani wakipinga kutozwa fedha na maofisa biashara wa wilaya hiyo.

Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha na maofisa biashara wa wilaya hiyo.

No comments:

Post a Comment