Saturday, 7 June 2014

KINANA AKIKAGUA VIFAA VYA WACHIMBAJI WADOGOKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana (kushoto) akimsikiliza mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Alhaji Mahmoud Karia (kulia) ambaye huwauzia wachimbaji wadogo vifaa vya kisasa kwa bei nafuu.

No comments:

Post a Comment