HAPPY BIRTHDAY IAN
Mtoto Ian Matoi (kushoto) wa Mji mdogo wa
Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, akiwa na mpambe wake Andrew Joseph Lyimo,
kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka miwili ya kuzaliwa kwake, iliyofanyika nyumbani kwao Mirerani.
Mtoto Ian Matoi wa Mji mdogo wa Mirerani
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, akilishwa keki na mama yake Jema Lilama, kwenye
sherehe yake ya kutimiza miaka miwili ya kuzaliwa kwake, iliyofanyika nyumbani kwao Mirerani katikati ni Andrew Joseph mpambe wa Ian.
No comments:
Post a Comment