Sunday, 8 June 2014

HARUSI YA MBUNGE WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI MKOANI ARUSHA, JOSHUA NASSARI NA MKE WAKE ANANDE NNKO

Matukio mbalimbali ya harusi ya Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mkoani Arusha, Joshua Samwel Nassari na Mke wake Anande Nnko
Wakiwa na zawadi yao ya ng'ombe baada ya kupewa na waumini wa kanisa lao eneo la Kilinga wilayani Arumeru.


Bwana na Bibi harusi
 Mheshimiwa mbunge akipongezwa na baba yake mzazi mchungaji Samwel Nassari baada ya kufunga ndoa yao jana jumamosi
Bwana na Bibi harusi baada ya kufnga ndoa yao
Mara baada ya kumaliza kufunga ndoa yao
Bibi harusi Anande Nnko baada ya kufunga ndo na Nassaria
Mbunge wa Jimbo la Arumeru, Joshua Nassari na mkewe Anande Nnko

Msafara ndiyo unatoka kanisani na kueleka kwenye barabara Kuu ya Moshi- Arusha
Mbunge kachukua kifaa
ilikuwa hivi
Baba, baba huyoooo na Mama, mama huyooo

Msafara upo eneo la Tengeru
Msafara wa harusi yake ukiwa eneo la Usa River.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mkoani Arusha, Joshua Samwel Nassari na Mke wake Anande.
.
Msafara wa magari maeneo ya Usa River
Warufukutwa wa Chadema na madereva wa pikipiki za bodaboda nao walikuwepo .
Yerooo, jamii ya wafugaji wa kimasai nao walikuwepo.

No comments:

Post a Comment