Tuesday, 29 January 2013

KWA HERI MAMA MSINDAI

Hafla ya kumuaga aliyekuwa Ofisa Mnadhimu wa Polisi wa Mkoa wa Manyara,Eurelia Msindai na kumkaribisha Ofisa Mnadhimu wa sasa Jerome Felix Ngowi.

Monday, 28 January 2013

RPC MANYARA

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara,Kamishna Msaidizi Akili Mpwapwa akisoma taarifa yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo wakati wa zoezi la ugawaji wa pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi wakaguzi wa Jamii wa Tarafa za mkoa huo.

UTEPE

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo akikata utepe wakati wa hafla ya ugawaji wa pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi Tarafa wa mkoa huo.

NAKAGUA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo akikagua kikosi cha askari polisi mjini Babati wakati wa hafla ya ugawaji wa pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi Tarafa wa mkoa huo.

GWARDEEEEEEEEEEE

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo akikagua kikosi cha askari polisi mjini Babati wakati wa hafla ya ugawaji wa pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi Tarafa wa mkoa huo.

RC MANYARA AKIWASHA PIKIPIK

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo akiwasha moja kati ya pikipiki 25 zilizotolewa na Serikali kwa polisi Tarafa wa mkoa huo.