Saturday, 11 January 2014

UGATUZI NA UGATUAJI WA WADAU WA MADINI SIMANJIRO


Mhandiri Msaidizi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Missanya Bingi, akiwaelekeza wadau wa madini wa wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mji mdogo wa Mirerani katika warsha ya ugatuzi (kunufaika) na madini.


Katibu Tawala wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Elias Ntiruhungwa akizungumza na wadau wa madini wa wilaya hiyo jana, mji mdogo wa Mirerani katika warsha ya ugatuzi (kunufaika) na madini.



Baadhi ya wadau wa madini ya Tanzanite wakiwa kwenye picha ya pamoja katika warsha ya ugatuzi na ugatuaji yaani kunufaika kupitia madini kwa halmashauri husika kusimamia shughuli hizo.

No comments:

Post a Comment