BARAZA LA MADIWANI MBULU
Mwenyeki wa Halmashauri ya Wilaya
ya Mbulu Mkoani Manyara, Paul Zacharia Isaay akizungumza wakati wa kupitisha
bajeti ya shilingi bilioni 39 ya wilaya hiyo (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti,
Joseph Guulo Mandoo na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji Fortunatus Fwema.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani
Manyara, Anatory Choya akizungumza kwenye Baraza la madiwani wa halmashauri ya
wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment