KIKAO RCC MANYARA
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston
Mbwilo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Kamati ya Ushauri ya
mkoa huo (RCC) mjini Babati.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala
Bora) Kapteni Mstaafu George Huruma Mkuchika akizungumza kwenye Mkutano wa 20
wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Manyara mjini Babati.
No comments:
Post a Comment