Tuesday, 28 January 2014

BAJETI BABATI MJINI

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Mohamed Omary Farah akizungumza wakati wa kupitisha bajeti ya shilingi bilioni 21 kwenye halmashauri yake, kulia ni Mkurugenzi wa mji Omary Mkombole na Makamu Mwenyekiti Andrew Ombay.

No comments:

Post a Comment