Tuesday, 28 January 2014

SERIKALI IMESHINDWA KUTAWALA



Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mkoani Manyara, Kisyeri Werema Chambiri (CCM) akizungumza kwenye mkutano wa 20 wa Kamati ya Ushauri ya mkoa huo, ambapo alisema Serikali imeshindwa kutawala.

No comments:

Post a Comment