Sunday, 1 December 2013

KITIMWENDO


Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Ally Mohamed Mkalipa akimwendesha kwenye kitimwendo mlemavu John Joshua aliyepewa kiti hicho, kati ya viti 40 vilivyotolewa na Kanisa la TAG Mirerani

No comments:

Post a Comment