MKULIMA MBUNIFU
Mkulima mbunifu wa zao la ufuta wa kijiji cha
Ngolei, Kata ya Mwada, Tarafa ya Mbugwe, Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Costerntine
Martin akipanda mbegu shambani kwa kutumia kifaa cha Costerplanter alichokibuni
baada ya kuwezeshwa sh300,000 na shirika la Farm Africa.
No comments:
Post a Comment