KIKAO ALAT
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Mamlaka ya Serikali za mitaa (Alat) Mkoa wa Manyara, Nicodemus
Tarmo (katikati) akiongoza kikao cha wajumbe wa mkoa huo kilichofanyika
mji mdogo wa Orkesumet Wilayani Simanjiro kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Mainge
Lemalali na Katibu Omary Mkombole.
No comments:
Post a Comment