HONGERA SANA
Mkuu
wa Kituo cha polisi Mirerani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Ally Mohamed
Mkalipa (kushoto) akimpongeza aliyekuwa Ofisa utumishi wa wilaya hiyo, Patrice
Saduka aliyehamishiwa wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani, kwenye tafrija ya kumuaga
iliandaliwa na watendaji wa kata za Simanjiro
No comments:
Post a Comment