UFUTA UMEKUBALI SHAMBANI
Mmoja kati ya wakulima wa zao la ufuta kwenye Kijiji cha Matufa,
Tarafa ya Mbugwe Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Khadija Abdallah ambaye
aliwezeshwa na shirikal lisilo la kiserikali la Farm Africa, akikagua zao shambani mwake.
No comments:
Post a Comment