Monday, 3 December 2012

WADAU WA HABARI MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo (katikati) akiingia kwenye kikao cha wadau wa habari wa mkoa huo kilichofanyika Novemba 3 mwaka huu mjini Babati (kulia) ni Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara MAMEC,Benny Mwaipaja na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Vrajilal JituSon.Picha na Joseph Lyimo

No comments:

Post a Comment