Friday, 7 December 2012

DIWANI


Diwani wa kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Mh Lucas Zacharia akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Mamlaka ya mji huo,wengine ni Wenyeviti wa mitaa ya mji huo. 

No comments:

Post a Comment