Monday, 10 December 2012

BURIANI JUMA HAMIS PAMPAY

Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara wakiwa kwenye msiba wa mwandishi mwenzao wa habari,marehemu Juma Hamis Pampay ambaye alifariki dunia Desemba 10 mwaka huu saa 12:30 asubuhi na anatarajiwa kuzikwa jumanne ya Desemba 11 mjini Babati hapa wakiwa wamekabidhi ubani wa sh200,000 kwa ndugu wa marehemu kwa ajili ya rambirambi ya msiba huo.

No comments:

Post a Comment