Kamanda wa polisi Mkoani Manyara
Akili Mpwapwa (kushoto) na mwandishi wa Radio Triple A ya jijini Arusha,Hamad
Mongi wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Triple A
marehemu Juma Hamis Pampay aliyefariki dunia juzi mjini Babati kwa ugonjwa wa
saratani ya inii na kuzikwa jana mjini humo
|
No comments:
Post a Comment