Thursday, 22 November 2012

WAANDISHI WA HABARI

Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara kutoka kushoto,Fortunatha Ringo,Joseph  Lyimo,Julieth Peter na Mary Margwe wakiwa mji mdogo wa Galapo Wilayani Babati kwenye ziara ya Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe.

No comments:

Post a Comment