Sunday 25 November 2012

UZINDUZI UJENZI STAND BABATI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara,Mohamed Omary Farah,akizungumza jana kwenye uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha mabasi ya mji huo ambao utajengwa kwa msaada wa kampuni ya kichina ya Chico kwa gharama ya sh50 milioni (kulia) ni Msemaji wa kampuni hiyo Yan Wangting na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa mji huo Winnie Kijazi.

No comments:

Post a Comment