Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Diwani wa
Kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara Lucas
Zacharia baada ya kuwasili eneo la Sinai mjini Babati kwenye ziara ya siku mbili
mkoani humo kwa ajili ya kuzindua na kukagua miradi ya barabara,maji na kukagua
shughuli za wajasiriamali |
No comments:
Post a Comment